
Safari zijazo za meli na ndege kutoka China hadi Tanzania. Fikisha mizigo yako ghala letu kabla ya tarehe ya mwisho ili iondoke na safari hiyo.
Muda wa kawaida wa safari: meli siku 45 hadi 60, ndege siku 14 hadi 21. Tarehe zinaweza kubadilika kulingana na kampuni ya meli au ndege, na tunathibitisha yako unapoweka nafasi.